KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

February 20, 2016

NAPE KUSHUHUDIA PAMBANO LA CHEKA

Bondia Fransic Cheka ‘katikati’ akiwa katika picha ya pozi na meneja wake, Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Security Limited baada ya kuzunumzia mpambano wake na Mserbia Geard Ajetovic utakaofanyika   kwenye viwanja vya Leaders Club Februari 27 kushoto ni meneja msaidizi Nassoro Said ‘mzee wa mbele
 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Msanii wa bendi ya muziki wa dansi African Stars ‘Twanga Pepeta’ Luiza Mbutu kulia akizungumza na waandisho wa habari awapo pichani wakati wakitangaza mpambano wa bondia Francis Cheka na Mserbia Geard Ajetovic utakaofanyika  kwenye viwanja vya Leaders Club Februari 27 katikati ni msanii Ally Choki na kushoto ni promta Jay Msangi Picha na SUPER D BOXING NEW

No comments:

Post a Comment