LUKUVI ATEMBELEA ENEO LA UBOMOAJI WA JENGO LA GHOROFA 16
Waziri wa Ardhi, Mhe. William Lukuvi akiangalia maendeleo ya
kazi ya ubomoaji wa jengo la ghorofa kumi na sita (16) ambapo
ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ambapo kwa sasa zimebaki ghorofa sita
(6) tu.
No comments:
Post a Comment