Mwanzilishi
wa Bits&Bites, Lilian Madeje akiwakalibisha wageni na kufungua
mkutano wa Uvumbuzi wa Teknologia uliofanyika leo jijini Dar es Salaam
katika ukumbi wa mwalimu Nyerere
Mshindi wa
shindano la uvumbuzi wa Teknolojia mpya itakayo saidia jamii
kupatikana leo na kuzawadiwa shilingi milioni tano (5,000,000) katika
mkutano wa wadau wa teknologia unaofanyika katika ukumbi wa mkutano wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkutano huo umeandaliwa na Bites&Bytes ukishirikiana na IBM,
TWAWEZA, FSDT pamoja na CBA, mktano huo ambao utahamasisha uendelezaji
wa mawazo mapya na uvumbuzi kwa waanzishaji wapya wa biashara na kuwapa
mwanya wa kubadilisha mawazo na wadau wengine
|
No comments:
Post a Comment