![]() |
UGANDA: Rais Museveni ametoa kauli ya mwisho kuwa Bomba la Mafuta litapita njia ya Kaskazini mwa Tanzania hadi Bandari ya Tanga. -Kauli hiyo imetolewa leo mbele ya Marais wa Kenya, Rwanda, na Wawakilishi wa Sudani Kusini, Ethiopia, Tanzania, DRC na Burundi. |
No comments:
Post a Comment