KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 3, 2016

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO NA MAJI YARIDHISHWA MATUMIZI YA FEDHA MTAMBO WA RUVU CHINI.


6
Meneja wa Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini Mhandisi Emmanuel Makusa akitoa ufafanuzi kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji namna chumba cha kuongozea mitambo ya Ruvu chini kinavyofanya walipotembelea Mtambo wa Ruvu Chini,wilayani Bagamoyo  kujionea maendeleo yaliyofikiwa kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa bomba lenye urefu wa Kilometa 56 linalotoka katika mtambo huo kwenda jijini Dar es salaam.
4
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wakiangalia sehemu ya kukusanyia maji kutoka mto Ruvu kwenye Mtambo wa Ruvu Chini.
3
Meneja wa Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini Mhandisi Emmanuel Makusa (katikati) akiwaongoza Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji kutembelea Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini,wilayani Bagamoyo  kujionea maendeleo yaliyofikiwa kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa bomba lenye urefu wa Kilometa 56 linalotoka katika mtambo huo kwenda jijini Dar es salaam.
7
Meneja wa Mtambo wa Maji wa Ruvu Chini Mhandisi Emmanuel Makusa akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Mhe. Mary Nagu wakati kamati hiyo ilipotembelea Mtambo wa Ruvu Chini,wilayani Bagamoyo

No comments:

Post a Comment