KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 24, 2016

MAAZIMIO YA BAVICHA MJINI DODOMA

1.Serikali isiliingilie Bunge ,iache Bunge ifanye kazi yake na kutoingilia Uhuru wa bunge na vyombo vya habari bunge lirushwe live ili watanzania wapate haki yao ya msingi ya kujua nini wawakilishi wao wanafanya Bungeni.
2.Kuandaa Makongamano nchi nzima na kutoa elimu kwa vijana wote juu ya ukandamizaji wa sheria na haki za Binadamu.
3.Tunamtaka Raisi aongoze nchi katika misingi ya utawala bora ,aache kukurupuka ,afanye utafiti kabla ya kuchukua maamuzi.
4.Kuendeleza harakati za kudai katiba Mpya,kama msingi wa kuheshimu maoni ya wananchi.
5.Ikiwa haya hayata tekelezwa ,na Serikali ya Magufuli sisi Vijana wa BAVICHA na CHASO tutaandamana nchi nzima kudai haki za watanzania.
Imetolewa na,
Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa.

No comments:

Post a Comment