Mengineyo yaliyojitokeza leo katika Ripoti ya CAG;
-Manunuzi
ya Shilingi Bilioni 27 yalifanywa bila ushindani kama sheria
inavyoagiza. Nakala 158,003 za Katiba Pendekezwa hazikusambazwa kwa
walengwa. Pesa haijulikani imeenda wapi.
-Cheti cha uendeshaji Shirika la ATC kimeisha muda tangu 2010. Bidhaa za Bilioni 9 za kwenda ng'ambo ziliuzwa nchini.
- Kampuni ya SAAFI inadaiwa Sh. Bilioni 17 na Serikali. Hii ni ya mwanasiasa mkongwe, Mzindakaya
-CAG apendekeza UDA irejeshwe serikalini. Mwenyekiti wa Bodi, Idd Simba aliwekewa Milioni 320 katika akaunti yake binafsi


No comments:
Post a Comment