| Mkazi
wa Mlandizi Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani,Darueshi Luwanja akilishwa
keki na Kaimu Katibu tawala wa Wilaya hiyo,Anathory
Mhango kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo,wakati wa uzinduzi wa duka
jipya la Vodacom Tanzania”Service desk” lililopo Mlandizi,Wengine kutoka
kushoto,Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Matina Nkurlu,Mkuu wa kitengo
cha wateja wa rejareja Vodacom,Brigita Stephen
na Mkazi wa eneo hilo Abdallah Ahmed. |
No comments:
Post a Comment