KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 1, 2016

MASOUD KIPANYA NA PHINA MANGO WAREJEA CLOUDS

Masoud Kipanya na Phina Mango leo wamerudia kipindi chao cha zamani cha Power Breakfast kinachorushwa na Redio ya Clouds FM ya Jijini Dar es Salaam leo wamesikika hewani.Baada ya kuondoka stesheni hiyo kipindi hicho kilishikwa na Paul Sweya na Gerald Hando ambao leo hawajasikika.Masoud na Phina waliondoka Clouds miaka kadhaa iliyopita.Hebu ngoja tuwafatute akina Sweya ili tujue wako wapi .

1 comment:

  1. Kazi na kusoma na vilevile uczarau udogo wa Gari bado utakua unatembea huku umekaa

    ReplyDelete