KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 23, 2016

MHANDISI MANASE LE KUJAN, AFUNGA MAFUNZO YA UMEME WA JUA (SOLAR PHOTOVOLTAIC TECHNOLOGY) KWA WATUMISHI WA TEMESA.

3
Mhandisi Amani Mwanga akipokea cheti kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu TEMESA  baada ya kuhitimu mafunzo ya teknolojia ya umeme wa jua (Solar Photovoltaic Technology)
4
Mhandisi Sara Moses akipokea cheti kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu TEMESA  baada ya kuhitimu Mafunzo ya teknolojia ya umeme wa jua (Solar Photovoltaic Technology)
5
Wahitimu wa Mafunzo ya teknolojia ya umeme wa jua (Solar Photovoltaic Technology) kutoka TEMESA wakiwa kwenye picha ya pamoja.
(Picha Zote na Theresia Mwami wa TEMESA)

No comments:

Post a Comment