![]() |
| Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) akizungumza na viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji Tanzania (TAJATI) alipowasili katika ofisi zao kuona kazi wanazozifanya leo Jijini Mbeya. |
![]() |
| Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea zawadi ya kikombe kutoka kwa mtunza fedha wa Chama cha Waandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji Tanzania (TAJATI) Bi. Brandy Nelson alipowasili katika ofisi zao kuona shughuli wanazozifanya leo Jijini Mbeya. |







No comments:
Post a Comment