
Mwenyekiti wa makampuni ya Kama
Group , Gagan Gupta wakati wa hafla ilyofanywa na kampuni hiyo ya Kamal
Steel Ltd kiwandani hapo wakati wa utoaji wa msaada wa viungo
bandia, kwa watu wenye ulemavu 16, vyenye thamani ya zaidi ya sh.
milioni 80, hafla hiyo ya kukabidhi msaada huo imefanyika hivi karibuni
jijini Dar es salaam.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Waziri wa Sheria na Katiba, Dk.
Harrison Mwakyembe akishukuru kampuni hiyo kwa msaada ilioutoa kwa
watanzania hao wenye ulemavu wa miguu ambapo yeye ndiye aliyewakabidhi
kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kamal Steel, Sameer Gupta.
Waziri wa Sheria na Katiba, Dk.
Harrison Mwakyembe akimvisha mguu wa bandia Bw. Siaga Raphael Kiboko
mara baada ya kukabidhiwa kutoka kampuni ya Kamal Steel ya jijini Dar es
salaam kushoto ni Mwenyekiti wa kampuni hiyo Bw. Gagan Gupta.
Waziri wa Sheria na Katiba, Dk.
Harrison Mwakyembe akizungumza na Bw. Siaga Raphael Kiboko kabla ya
kumkabidhi msaada wake wa viungo bandia vya mguu.
Waziri wa Sheria na Katiba, Dk.
Harrison Mwakyembe akiongozana na Bw. Gagan Gupta ambaye ni mwenyekiti
wa kampuni ya Kalam Steel tayari kwa ajili ya kukabidhi msaada huo.
Waziri wa Sheria na Katiba, Dk.
Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Bw. Siaga Raphael Kiboko mara
baada ya kumvisha mguu wake huku Mwenyekiti wa kampuni ya Kamal Steel
Bw. Gagan Gupta pamoja na viongozi wengine wa kampuni hiyo
wakishuhudia.







No comments:
Post a Comment