WAZIRI UMMY MWALIMU AWASIMAMISHA WATENDAJI WA NHIF KWA UBADHIRIFU WA FEDHA
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu
(pichani) amewasimamisha kazi kupisha uchunguzi kwa watendaji Wakuu wa
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa ubadhirifu wa fedha za mfuko
huo kwa Mkoa wa Mara.
No comments:
Post a Comment