KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 1, 2016

YA LEO LEO: BOSI WA ZAMANI WA TRA NA WAFANYAKAZI WA STANBIC AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA 'KUWEKA CHA JUU' MKOPO WA SERIKALI

Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA Dkt. Harry Kitilya na wenzake Shose Sinare na Sioi Solomoni wamefikishwa mahakamani (Kisutu DSM) leo kwa mashitaka 8 ikiwemo tuhuma za kujipatia fedha kiasi cha Dola za Marekani milioni 6, mwezi Machi mwaka 2013, ili kufanikisha mkopo kutoka Benki ya Stanbic kwenda serikalini.

Watuhumiwa hao wamekana makosa na kurudishwa rumande hadi April 8, 2016






2 comments:

  1. Haya ndio ale yanayisemwa na wahenga kuwa mbuzi hula ulefu wa kamba yake lakini hata hivyo majani yakiwa mengi basi atavimbiwa ndioyaliowakufa sasa wanahitaji kupakuliwa

    ReplyDelete
  2. Haya ndio ale yanayisemwa na wahenga kuwa mbuzi hula ulefu wa kamba yake lakini hata hivyo majani yakiwa mengi basi atavimbiwa ndioyaliowakufa sasa wanahitaji kupakuliwa

    ReplyDelete