KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 10, 2016

11 WA KWANZA DHIDI YA YANGA HAWA HAPA

,,,,
KOCHA mkuu wa Mbeya City Fc, Kinnah Phiri muda mfupi uliopita ametangaza kikosi cha nyota 11 watakaoanza kwenye mchezo  wa leo dhidi ya Yanga  katika kinyang’anyiro cha ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Katika kikosi hicho mlinda mlango Juma  Kaseja  anaendelea kusimama langoni sambamba na walinzi wa kulia na kushoto, John Kabanda na Hassan Mwasapili.
Wengine katika kikosi hichi ni kama ifuatavyo
1.Juma Kaseja 2. John Kabanda 3. Hassan Mwasapili 4. Tumba Lui 5.Haruna Shamte 6.Kenny Ally 7. Seleman Mangoma 8. Ramadhan Chombo 9. Salvatory Nkulula .10 Geoffrey Mlawa 11 Joseph Mahundi
SUB: Hanningtony Kalyesubula, Hamidu Mohamed, John Jerome,Ditram Nchimbi,Haruna Moshi,Raphael Daud na Yohana Moriss.
Mchezo huu namba 218 umepangwa kuanza saa 10:00 na utachezeshwa na mwamuzi Jimmy Fanuel kutoka Shinyanga, huku kiingilio kwa mashabiki kikiwa ni shilingi 5000 tu.

No comments:

Post a Comment