![]() |
![]() |
| Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania wakitembelea wagonjwa waliolazwa katika wodi ya wanaume waliopata ajali katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja |
![]() |
| Waziri wa Afya Mahamoud Thabit Kombo akiwa na mgeni wake Balozi wa Kuwait nchini Tanzania akimtembelea Hospitali Kuu ya Mnazimmoja ambayo itafanyiwa matengenezo makubwa na Serikali ya nchi hiyo. |
![]() |
| Waziri wa Afya Mahamoud Thabit Kombo akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Tanzaania Jasem Al Najim alipomtembelea Ofisini kwake kumuelezea juu ya Mradi wa kuifanyia matengenezo makubwa Hospitali Kuu ya Mnazimmoja, Mjini Zanzibar. |






No comments:
Post a Comment