KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 2, 2016

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR (ZFDB) YAHARIBU TANI 42.2 ZA BIDHAA ZISIZOFAA KWA MATUMIZI YA BINADAMU


za1
Wafanyakazi wa ZFDB wakipakia shehena ya bidhaa zilizoharibika tayari kwenda kuangamizwa katika Dampo la Kibele Mkoa Kusini Unguja.  
za5
Wafanyakazi wa ZFDB wakiongozwa na Mkuu wa operesheni ya uangamizaji bidhaa zilizoharibika Abdulaziz Shaib Mohamed (katikati) mwenye shati wakifuatilia uangamizaji wa bidhaa hizo  

No comments:

Post a Comment