![]() |
| kurugenzi
wa SHIDEPHA+ Venance Muzuka akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi
hati za hakimiliki za kimila zilizofanyika katika kijiji cha Nyida.
|
![]() |
| Haji Kihwele kutoka shirika la Oxfam akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi hati za hakimiliki za kimila zilizofanyika katika kijiji cha Nyida. |
![]() |
| Afisa
Mtendaji wa kijiji cha Nyida John Sahani Nungula akizungumza katika
hafla hizo; Alitaja shughuli za wakazi wa kijiji chake kuwa wengi ni
ukulima, ufugaji na biashara ndogondogo na kwamba mazao yanayolimwa
zaidi ni mpunga, mahindi, karanga, kunde, njugu mawe na mihogo
|
![]() |
Mkuu
wa Wilaya ya Shinyanga, Mhe. Josephine Matiro akimkabidhi Anna Kadilana
mkazi wa kijiji cha Nyida hati yake ya hakimiliki ya kimila. Anna
alisema, “Nimeamua kukata hakimiliki kwa sababu ya kukwepa usumbufu hasa
wa mipaka ambao ulikua unatokea mara kwa mara
|






No comments:
Post a Comment