Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana akimpongeza
Katibu Mtendaji Mkuu wa ZANU-PF Ndugu Ignatius Morgen Chombo kwa
kufanikisha Kongamano la Makatibu Wakuu wa vilivyokuwa Vyama vya
Ukombozi Kusini mwa Afrika na anaeshuhudia katikati ni Katibu Mkuu wa
FRELIMO Ndugu Eliseu Machava. Kongamano hilo linafanyika Victoria Falls,
Zimbabwe tarehe 4 – 8 Mei 2016
Picha ya pamoja ya Makatibu Wakuu wa vilivyokuwa Vyama vya
Ukombozi Kusini mwa Afrika(FLM) wanaoshiriki Kongamano la siku Nne la
kutafakari uimarishaji na uendelezaji wa ushirikiano wao na namna ya
kukabiliana na changamoto walizonazo. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa ANC
ya Afrika Kusini Ndugu Ndugu Gwede Mantashe, Katibu Mkuu wa FRELIMO ya
Msumbiji Ndugu Eliseu Machava, Katibu Mkuu wa CCM ya Tanzania Ndugu
Abdulrahaman Kinana, Makamu Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha
Kikomnisti cha China (CPC) Ndugu Guo Yezhou, Katibu Mtendaji Mkuu wa
ZANU-PF ya Zimbabwe Ndugu Ignatius Morgen Chombo, Katibu Mkuu wa MPLA ya
Angola Ndugu Juliao Mateus Paulo na Katibu Mkuu wa SWAPO Party ya
Namibia Ndugu Nangolo Mbumba. Kongamano hilo linafanyika Victoria Falls,
Zimbabwe tarehe 4 – 8 Mei 2016.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu wa ANC ya Afrika Kusini, Ndugu Gwede Mantashe kwenye Kongamano la Makatibu Wakuu wa vilivyokuwa Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika(FLM) linalofanyika Victoria Falls, Zimbabwe tarehe 4 – 8 Mei 2016

No comments:
Post a Comment