MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BIMA NCHINI (TIRA) YAKUTANA NA WADAU WAKE JIJINI MBEYA .
Kaimu
Meneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC)Mkoa wa Mbeya Ndugu Victory
Mleleu akichangia moja ya maada katika mkutano huo ulihusisha wadau wa
soko la Bima Kanda ya Nyanda za Juu Kusini pamoja na Mamlaka ya
usimamizi wa Bima (TIRA) semina ambayo imefanyika katika Ukumbi wa Mkapa
jijini Mbeya Mei 3 mwaka huu.
Mhasibu
wa Kanda Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA)Kanda ya Nyanda za Juu
Kusini Ndugu Kurenje Mbura akiwasilisha moja ya maada katika mkutano wa
wadau wa Soko la Bima ulioitishwa na Mamlaka hiyo ya (TIRA ) Mei 3 Mwaka
huu katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mkapa jijini Mbeya.
Mmoja
wa wadau wa soko la Bima Mkoani Mbeya Ndugu Masterdy Luvanda
akichangia maada katika mkutano wa wadau wa Soko la Bima ulioitishwa na
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) katika Ukumbi wa Mkapa jinini
Mbeya Mei 3 mwaka huu, ukiwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali
wanazo kutanana nazo wadau hao sanjali na kupeana uzoefu katika sekta
hiyo.
No comments:
Post a Comment