KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 1, 2016

MAN U LEO NI KAMA FAINALI KWAO WATAKAPOIKARIBISHA LEICESTER CITY OLD TRAFFORD

Picha ya mwaka 2014, Leicester wakishangilia ubingwa wa skybet.  Miaka kadhaa iliyopita kipindi kama hiki mashabiki na wapenzi wa Manchester united walikuwa wakishangilia Ubingwa.Leo hali ni tofauti kwani Man U inaikaribisha Leicester City Old Trafford bila kuwa na uhakika wa nini kitatokea. Iwapo Man U watapoteza , basi watakosa nafasi nne muhimu za juu na kuifanya kokosa michuano ya UEF. Tusubiri tuone hali itakuwaje leo?

No comments:

Post a Comment