Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia mamia ya Wafanyakazi katika kilele cha Maadhimisho ya
Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zulizofanyika Kitaifa katika
Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
ameshikana mikono na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi
TUCTA wakati wakiimba wimbo wa Mshikamano Daima katika kilele cha
Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika
Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
kombe la ushindi wa jumla kwa Rais wa TUCTA Gratian Mukoba katika
kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani
zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
Cheti cha Mfanyakazi bora kutoka Ofisi ya Rais Ikulu Ndugu Peter
Chisunga katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi
Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
namna ya uokozi katika majanga mablimbali yanayotokea Migodini nje ya
uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
jinsi mzani unavyofanyakazi katika banda la maonesho la Mamlaka ya
Bandari Tanzania TPA nje ya uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiifurahi
picha yake ya kuchoraalipokabidhiwa wakati anakagua mabanda ya Maonesho
katika katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wafanyakazi
Duniania zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani
Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza
maelezo kutoka kwenye banda la mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi
ya jamii SSRA mjini Dodoma .










No comments:
Post a Comment