Mtangazaji
wa kipindi cha Rushwa ni Adui wa Haki Bi. Miriam Chisoro (kushoto)
akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya
Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) wakati
wakijadili mada kuhusu Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa umma ofisini
kwa mkurugenzi huyo mapema leo.
Mkurugenzi
wa Idara ya Ukuzaji wa Maadili wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi
wa Umma Bw. Mathew Kirama (kulia) akisisitiza umuhimu wa utekelezaji
wa Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa umma wakati wakijadili mada hiyo
na Mtangazaji wa kipindi cha Rushwa ni Adui wa Haki Bi.Miriam Chisoro
(kushoto) ofisini kwa mkurugenzi huyo mapema leo


No comments:
Post a Comment