KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 16, 2016

POLE KAKA MICHUZI KWA KUONDOKEWA NA KIJANA WAKO, MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA POPONI

Baba wa marehemu (mwenye kofia), Ankal Issa Michuzi akipewa pole na baadhi ya waombolezaji mara baada ya maziko ya mtoto wake Maggid Muhidin Michuzi (18)yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akimpa pole Issa Michuzi.UKIWA NI MWANZILISHI WA BLOG ZA KIJAMII KWA HAPA NCHINI, UMEFUNGULIA WENGI NJIA KATIKA ENEO HILI, HATA SISI TUMEFUATA NYAYO ZAKO, NI WAZI TUNGEPENDA SIKU ZOTE UWE NA AMANI, HATUNA JINSI YA KUZUIA MENGINE KAMA HILI LA KUONDOKEWA NA KIJANA WAKO MAGGID, POLE SANA MUNGU AKUPE NGUVU KIPINDI HIKI KIGUMU NA AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA POPONI,AMINA
 

No comments:

Post a Comment