![]() |
| Zhang Shengwu, akiwa na cheti cha kutambuliwa ugunduzi wake na serikali |
![]() |
| Mkulima wa China Zhang Shengwu amebuni nyambizi ya aina mpya na kupata hataza ya serikali ya China. Nyambizi ina urefu wa mita sita, ambayo inaweza kuzama kwa mita 1 hivi. Gharama ya utengenezaji wa nyambizi hiyo ni dola 770 hivi za kimarekani. |




No comments:
Post a Comment