![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo |
![]() |
| “WEWE UTAKUWA KADA SAFI WA CCM” Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akimsalimia Chipukizi, Rehema Mohammed (6), ambaye ni mtoto wa mmoja wa viongozi wa CCM waliomlaki alipokuwa akiingia katika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo |
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi akiwasalimia viongozi wakati akienda kuingia katika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo |
![]() |
| Baadhi ya viongozi wa CCM wakiwa tayari kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi kuingia Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi, leo |
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alisindikizwa na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Ruta, wakati akienda kuingia katika Ofisi ya CCm ya mkoa huo mjini Moshi leo |
![]() |
| Kiongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM, akimpigia saluti ya kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi kwenye Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo |
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjari Iddi Juma Mohammed baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa huo mjini Moshi leo. Kulia ni Katibu wa CCM wa mkoa huo Deogratius Rutagumirwa |
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akipewa saluti na Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM wilaya ya Moshi mjini, Amiri Masawe, baada ya kuwasili mjini Moshi na kufika Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro kuzungumza na watendaji wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Wapili ni Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius utagumirwa na watatu ni Mkuu wa Kitengo cha Utafiti na Mafunzo ya Itikadi kutoka Idara ya Itikadi na Uenezi, Makao Makuu ya CCM, Frank Uhahula. |
![]() |
| Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Deogratius Rutagumirwa akiteta jambo na Mkuu wa Kitengo cha Utafiti na Mafunzo ya Itikadi kutoka Idara ya Itikadi na Uenezi Makao Makuu ya CCM, Frank Uhahula, Ofisini kwa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo, walikokuwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi |











No comments:
Post a Comment