![]() |
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa (wa nne kulia) akishiriki katika Mazungumzo Rasmi
ya Wakuu wa Nchi katika Mkutano kuhusu mapambano dhidi ya rushwa kwenye
ukumbi Lancster House, London, nchini Uingereza Mei 12, 2016. Majaliwa
alimwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano huo(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
|
![]() |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa kuingia kwenye ukumbi wa Lancaster House, London nchini Uingereza kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, Mei 12, 2016. Waziri Mkuu Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo. |




No comments:
Post a Comment