KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 26, 2016

HALMASHAURI NCHINI ZATAKIWA KUTOKUWA WABADHIRIFU WA FEDHA ZA MIRADI

F1
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhandisi Mussa Iyombe akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi Kukabiliana na Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabia nchi (Decentralized Climate Finance in Tanzania) leo mjini Dodoma.
F2
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Dkt. Deo Mtasiwa akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi Kukabiliana na Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabia nchi (Decentralized Climate Finance in Tanzania) leo mjini Dodoma.
F3
Meneja Miradi wa Mfuko wa Umoja wa Taifa wa Maendeleo (UNCDF) Bw. Fakri Karim akiwasilisha mada namna mfuko wao unavyoshiriki katika mradi wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabia nchi (Decentralized Climate Finance in Tanzania) wakat wa uzinduzi wa mradi huo leo mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment