![]() |
| Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Kahama Abel Shija(mwenye skafu) pamoja na waheshimiwa madiwani na wataalamu wa halmashauri hiyo wakifuatilia kwa makini maelezo kutoka kwa wataalamu wa Mgodi huo. |
![]() |
| Afisa mazingira wa Mgodi wa Buzwagi Bwana Lusajo Njobelo akifafanua jambo kwa waheshimiwa madiwani na mbunge wa Kahama mjini Jumanne Kishimba wakati wa ziara hiyo. |
![]() |
| Madiwani wakipata maelezo kutoka kwa Marco Peter katika eneo la uchimbaji. |
![]() |
| Eneo maalumu la kusagia mawe kabla ya kupelekwa kiwandani kwa ajili ya uchenjuaji wa dhahabu. |
![]() |
| Shimo ambalo shughuli za uchimbaji hufanyika kama linavyoonekana. |







No comments:
Post a Comment