KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

July 23, 2016

MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM MJINI DODOMA LEO

5
Makamu wa Rais Mh. Mama Samia Hassan Suluhu, Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi  Zanzibar SMZ Mhe. Mohammed Said Mohammed Dimwa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakishiriki kuimba nyimbo za hamasa.
6
Viongozi wa Vyama vya Siasa wakiwa katika mkutano huo.
7
Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kushoto na Mzee Said El Maamry na wageni waalikwa wengine wakiwa katika mkutano huo.
8
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Ndugu Anthony Dialo akiwa na wajumbe wenzake kutoka mkoani Mwanza wakiwa katika mkutano huo, Kulia ni Richard Ndasa na wa tatu ni Ndugu John Mongela.
1
Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika mjini Dodoma
16
Baadhi ya wajumbe kutoka mkoa wa Iringa kutoka kulia ni Dk Agustine Mahiga na  Salim Abri Asas pamoja na wenzao wakiwa katika mkutano huo
.
2
Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaofanyika mjini Dodoma sasa hivi.
3
Baadhi ya wake wa viongozi waliohudhuria katika mkutano huo

4
Baadhi ya viongozi wastaafu
jk
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. Jakaya Kikwete akiwahutubia wajumbe wa mkutano mkuu Maalum kwenye ukumbi wa Dodoma Convention Centre mjini Dodoma, ambapo mkutano huo utamthibitisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli aliyekaa kulia kuwa Mwenyekiti Mpya wa CCM Taifa akipokea uongozi huo kutoka kwa mtangulizi wake Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi  Dk. Jakaya Kikwete, Wajumbe wengi wamehudhuria katika mkutano huo wanatarajia kupiga kura hiyo muda wowote kuanzia sasa
Kushoto  ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Bara , Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na wa pili kutoka kuliaMakamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.Chanzo Fullshangwe
5
Wajumbe kutoka Zanzibar wakiwa katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment