MUSEVEN AINGIA DARASANI ,ASHIKA CHAKI NA KUFUNDISHA
RAIS wa
Uganda,Mhe Museven amedhihirisha kuwa ni kiongozi wa aiana ya kipekee
katika ukanda huu wa Afrika Mashariki baada ya hivi karibuni kuamua
kuingia darasani kuwafundisha wanajeshi wake chipukizi namna ya kufanya
kazi.
Museven
ambaye ni kiongozi mkongwe pengine kuliko wote katika ukanda huu wa
Afrika Mashariki,amewafundisha mbinu mablimbali za kivita na kujilinda
wanajeshi wake ikia ni moja ya mkakati wake wa kuimarisha usalama wa
taifa hilo
No comments:
Post a Comment