KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

July 12, 2016

UTT - PID YAPONGEZWA NA WATEJA KWA HUDUMA ZAO NDANI YA MAONESHO YA SABASABA 2016

Bi Kilave Atenaka akitoa maelezo kwa moja ya wateja Bw. Lameck mmoja wa wateja waliofurahia huduma za Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID)- Ndani ya viwanja vya Mwalimu Nyerere katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam 2016 - SabaSaba yaliyoisha mwisho wa juma liliopita.
Wateja wakipata maelezo juu Miradi mbalimbali ya ujenzi na Miundombinu inayotekelezwa na Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) maeneo mbalimbali nchini.
Bibi Mary Lugusi Afisa Masoko akitoa maelezo kwa moja ya wateja juu ya huduma mbalimbali za Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) Ndani ya viwanja vya Mwalimu Nyerere katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam 2016 - SabaSaba.

No comments:

Post a Comment