KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 29, 2016

KAMUZORA AKUTANA NA WAKUU WA KAMPUNI ALARKO KUTOKA UTURUKI

SIM2
Mkuu wa Wakurugenzi wa Kampuni ya Alarko kutoka nchini Uturuki Bw. Izzet Garih (wa kwanza kushoto) akizungumzia  kuhusu ushirikiano baina ya kampuni hiyo na sekta ya mawasiliano,  na (wa kwanza kulia) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia  sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora.
SIM1
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Dkt. Kamugisha Kazaura akizungumza  wakati wa kikao  cha  Ushirikiano baina Sekta ya Mawasiliano na Kampuni ya Alarko.
SIM3
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia  sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora akiwa katika picha ya pamoja na  Wakurugenzi wa Kampuni ya Alarko kutoka nchini Uturuki Bw. Izzet Garih

No comments:

Post a Comment