KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 16, 2016

MABALOZI NA WAWAKILISHI WA MABALOZI HAPA NCHINI WASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO

lul1
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Finland Bw. Simo Pekla Parvianen akisaini kitabu cha Maombolezo  katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu  wa Awamu ya pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
lul3
Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Bi. Monica Patricio Mussa  akitoa heshimza zake mara baada ya kusaini kitabu cha Maombolezo  katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu  wa Awamu ya pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
lul4
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Elitrea Bw. Saleh Azaril
lul5
Kaimu Balozi wa Burundi nchini Tanzania Bw. Pierre Ndayishimiye
lul6
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Angola Bw. Joel Cumbo
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Selikarini, Ofisi ya Makamu wa Rais.

No comments:

Post a Comment