KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 25, 2016

MKUU WA WILAYA YA ARUSHA BW. GABRIEL DAQARRO AUPOKEA MWENGE WA UHURU JIJINI ARUSHA

mw1
Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru uliopokelewa leo katika Jiji la Arusha eneo la Kisongo kwaajili ya kukimbizwa kwa siku moja katika urefu wa Kilometa 81.19 katika Tarafa tatu.
mw2
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Athumani Kihamia akipokea Mwenge wa Uhuru ambao utakimbizwa ukiwa unaelimisha na kueneza ujumbe wa “Washirikishwe na Kuwezeshwa” ujumbe huo ukiwa umeambatana na kauli mbiu “Vijana ni Nguvukazi ya Taifa Washirikishwe na Kuwezeshwa”
mw3
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa,George Mbijima akizindua Kituo cha Afya  katika Kata ya Elerai jijini Arusha kitakachowahudumia wananchi wa Kata hiyo,Sombetini na Ngarenaro.Miradi yenye thamani ya zaidi ya Sh 1.5 ambayo Soko,Afya,Maji,Elimu,Uwezeshaji wa wananchi kiuchumi makundi maalumu,Ujenzi wa daraja na usafi na utunzaji wa mazingira

No comments:

Post a Comment