![]() |
| Waziri wa Nishati na Madini, Mh. Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akizungumza jambo wakati akizindua mpango mkubwa wa kuendeleza usambazaji umeme vijijini hapa nchini (Treep), kwenye kijiji cha Kwedizinga, wilayani Handeni mkoa wa Tanga agosti 15, 2016. kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawai na Somalia, Bella Bird (PICHA NA MARGRETH SUBI) |



No comments:
Post a Comment