
Waziri wa Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akitoa ufafanuzi
kuhusu masuala mbalimbali ya wizara anayoiongoza alipokutana na
waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akitoa wito kwa wananchi kushirikiana na wataalam wanaofanya Mapitio
ya Sera ya Afya kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Chuo cha Afya
Muhimbili na Wataalam wa Ofisi mbalimbali za Serikali
zinazojishughulisha na masuala ya utekelezaji wa Sera ya Afya ya mwaka
2007.



No comments:
Post a Comment