| Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Angellah Kairuki akifungua mkutano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(Tafas)walioketi ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo,Ladislaus Mwamanga na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadick. |
![]() |
| Wakuu wa wilaya kutoka mikoa mitano ya Singida ,Manyara,Arusha,Kilimanjaro na Tanga wakiwa kwenye mkutano wa Kazi wa kupata uelewa zaidi wa mfuko wa Tasaf. |



No comments:
Post a Comment