KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org

TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 25, 2016

DK SHEIN AONGOZA HARAMBEE YA MWANAHARAKATI BIBI SITI BINTI SAAD

tit1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi picha ya kuchora Mmiliki na Mkurugenzi wa Kampuni ya Pennyroyal inayojenga Hoteli Kubwa ya Kimataifa huko Matemwe Kaskazini Unguja Bw.Brian Thomson (kulia) iliyonadishwa na kuinunua kwa Shilingi za Kitanzania Milioni nane(8) pia  akiwa amechangia Shilingi Miliion Ishirini na tano katika  Harambee ya kuchangia ujenzi wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Sadi,hafla ilifanyika jana katika Ukumbi wa Hayat Hotel Mjini Unguja,wakati huohuo ameahidi kuanzisha Chuo cha Muziki Academy katika Mkoa wa Kaskazini,ambapo mradi huo utagharimu shilingi za kitanzania Miliioni mia sita, wakiwemo  na Walimu pamoja na zana  zote,[Picha na Ikulu.]25/09/2016.
tit2

tit3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) na Mtoto wa Mwanahamis Ali 9years mkaazi wa Shaurimoyo Mjini Unguja akichora kaburi alilozikwa Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad (katika picha ya kuchora chini) baada ya kukabidhiwa picha hiyo Rais, wakati wa harambee ya Ujenzi wa Ofisi ya taasisi hiyo  iliyofanyika jana katika ukumbi wa Hayyat Hotel Mjini Unguja,
[Picha na Ikulu.]25/09/2016.
tit4
Baadhi ya Mawaziri wakiwa katika hafla ya harambee ya Ujenzi wa Ofisi ya taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad inayotarajiwa kujengwa Fumba Mkoa wa Magharibi Unguja,wakiwa katika hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Hayyat Hotel Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]25/09/2016.

No comments:

Post a Comment