inocomm.blogspot.com
KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 27, 2016

MPIGANAJI WA KIISLAM AFUNGWA NA ICC

Ahmad Al Faqi Al Mahdi
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imemhukumu mwanamgambo wa Kiislamu raia wa Mali Ahmad Al Faqi Al Mahdi kifungo cha miaka tisa jela.
Al-Mahdi alikuwa ameshtakiwa makosa ya uhalifu wa kivita kuhusiana na kuharibiwa kwa makaburi tisa na msikiti mashuhuri katika mji wa kale wa Timbuktu, 2012.
Wakati wa kusikizwa kwa kesi yake, Al Faqi Al Mahdi alikiri mashtaka. BBC
Posted by Unknown at 4:33 PM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

TAFUTA HAPA

KUHUSU SISI

Unknown
View my complete profile

WADAU

YALIYOMO:

ZILIZOSOMWA:

  • RC MAKONDA AKABIDHI ORODHA YA MAJINA 97 YA WAUZA DAWA YA KULEVYA KWA KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DAR LEO
    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akionesha majina mengine 97 ya wauza  Dawa za Kulevya awamu ya tatu kwa kamishna Mkuu wa Mam...
  • MFAHAMU KOFFI OLOMIDE, ANA UTAJIRI WA SH.BILIONI 40 ZA KITANZANIA
    Mwanamuziki wa Kongo  Koffi Olomide  ambaye anajulikana kwa ngoma zake kali ana utajiri wa dola za Kimarekani milioni 18 karibu Shilion...
  • TAZAMA MAFURIKO YA MHE.LOWASSA JIJINI MBEYA LEO
    Mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Ukawa kwa tiketi ya Chadema Mhe.Edward Lowassa akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Uk...
  • TAARIFA YA UDAHILI KATIKA VYUO VYA MAENDELEO YA JAMII
    Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ina vyuo tisa (9) vinavyotoa mafunzo ya taaluma ya Maendeleo ya Jamii katika...
  • BREAKING NEWS:KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI ASIMAMISHWA KAZI
    Katibu Mkuu Kiongozi, Eliakim Maswi . Habari zilizotufikia hivi punde   zinasema kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim M...
  • MANJI ARUDISHWA NDANI YA POLISI BAADA YA KUTAKA KUTOKA
    Mfanyabiashara Yusuph Manji leo amefika kituo cha polisi kati kama alivyoahidi jana baada ya kutajwa kwenye orodha ya watu 65 na mkuu...
  • AMBWENE -ACHA TUTESEKE
  • BAADA YA KUZIMIA,AKIZINDUKA ASKOFU GWAJIMA ATAKIWA KURIPOTI KWA DC KINONDONI KESHOKUTWA
    DC.Makonda  Dar es Salaam. Wakati  Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akijisalimisha kwa Jeshi la Polisi, Mkuu wa ...
  • WAMBURA WA TFF AFUNGIWA MAISHA KUJIHUSISHA NA SOKA
    Sekretariati ya Shirikisho la soka Tanzania TFF ilimfikisha Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura kwenye kamati ya maadili aki...
  • HII HABARI IMEANDIKWA HUKO DUNIANI NA WENYEWE -SOMA KUHUSU BOMBADIER Q4-00 TURBOPROPS.HAPA KAZI TU!
    Bombardier Commercial Aircraft has delivered two Q400 turboprops to the Tanzanian Government Flight Agency. The aircraft, which were new...
Theme images by homebredcorgi. Powered by Blogger.