
Waziri wa Nishati na Madini
Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akielezea fursa za uwekezaji katika
Sekta ya Nishati kwa Balozi wa Uingereza Nchini, Sarah Cooke (kushoto).

Balozi wa Uingereza Nchini,
Sarah Cooke akielezea mikakati ya nchi yake katika kuisaidia Tanzania
katika uboreshaji wa sekta ya nishati nchini.

Watendaji kutoka kutoka Wizara
ya Nishati na Madini, Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC),
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za
Nishati na Maji (EWURA), Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Wakala wa
Ukaguzi wa Madini Nchini (TMAA), wakifuatilia maelezo yaliyokuwa
yanatolewa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo
(hayupo pichani).


No comments:
Post a Comment