
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe
Miraji Jumanne Mtaturu akizungumza na wakazi wa Kata ya Ntuntu wakati
kwenye mkutano wa hadhara wakati wa ziara yake Wilayani Ikungi
Wananchi wa Kata ya Ntuntu wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Wilaya ya Ikungi Bi Rustika Turuka akisisitiza jambo kabla ya
kumkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Ikungi kuwahutubia wananchi wa kata ya
Ntuntu
Kaimu katibu Tawala wa Wilaya ya
Ikungi Dandala Mzunguor akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa hadhara
kabla ya kumkaribisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Bi
Rustika Turukaili naye amkaribishe Mkuu wa Wilaya ya Ikungi kuwahutubia
wananchi wa kata ya Ntuntu
Wananchi wakimsikiliza kwa Makini Mkuu wa Wilaya akitoa maagizo ya mpango wa maendeleo ya Wilaya






No comments:
Post a Comment