
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ wakati wa
kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo
mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 31/10 /2016.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud akisoma kazi za Mpango
kazi wa mwaka 2016-2017 katika utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya
Julai-Septemba 2016 kilichofanyika leo Ikulu Mjini Unguja, chini ya
Mwenyekiti weke Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa anayeshuhulikia Idara Maalum za SMZ ACP Sida Muhamed Himid na (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Muslim Hija,[Picha na Ikulu.] 31/10 /2016.



No comments:
Post a Comment