Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao cha
Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 cha Uongozi wa Wizara ya
Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira katika utekelezaji wa robo mwaka ya
kwanza ya Julai-Septemba kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 17/10 /2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha

Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2017-2017 katika
utekelezaji wa robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba kilichofanyika
leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 17/10 /2016.

No comments:
Post a Comment