KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 21, 2016

JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA ULINZI LA LETHOTO LUTENI JENERALI TLALI KAMOLI

davi1
 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (Kulia) akimkabidhi nembo ya JWTZ Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Lesotho Luteni Jenerali Tlali Kamoli, alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi Upanga Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 21 Oktoba 16, kwa ziara ya kikazi ya kuimarisha uhusiano wa majeshi ya nchi mbili hizi (picha na JWTZ).
davi2

No comments:

Post a Comment