Katibu
Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana (Watatu kushoto) akishikana
mikono kuonyesha mshikamano na Makatibu Wakuu wa Vyama vya Ukombozi
Kusini mwa Afrika, na Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti
cha China (CPC), Song Tao (wanne kushoto), baada ya kuwawakilisha
Makatibu Wakuu hao katika mazungumzo na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya
CPC, Liu Yunshan. Kutoka kushoto ni Pedro Sebastiao wa MPLA (Angola,
Elisau Joaquim wa FRELIMO (Msumbiji), Waziri wa Mambo ya Nje katika
Chama cha Kikomunisti cha China, Song Tao, Gwede Manlashe wa ANC (Afrika
Kusini), Nangolo Mbumba wa SWAPO (Namibia), Ignatius Chembo wa ZANU-PF
(Zimbabwe). PICHA ZOTE NA OFISI YA KATIBU MKUU WA CCM
|
No comments:
Post a Comment