

Kituo cha kuzalisha umeme mkoani Mtwara kama kinavyoonekana pichani.

Meneja wa kituo cha kuzalisha
umeme cha Mtwara, Mhandisi Mkulungwa Chinumba (kulia) akitoa maelezo juu
ya uendeshaji wa kituo hicho kwa Katibu Mkuu Mkuu wa Wizara ya Nishati
na Madini, Profesa Justin Ntalikwa (kushoto)
kielezea
mitambo ya kuzalisha umeme inavyofanya kazi katika kituo hicho.


No comments:
Post a Comment