KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 7, 2016

MAADHIMISHO YA FIMBO NYEUPE YAFANA JIJINI MBEYA.


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackso Mwansasu akihutubia katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Fimbo nyeupe duniani ambayo kitaifa yamefanyika jijini Mbeya.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akitoa salamu za mkoa wa Mbeya katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Fimbo nyeupe duniani ambayo kitaifa yamefanyika jijini Mbeya.
Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Tanzania(TLB), Luis Benedicto akitoa salamu za Chama katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Fimbo nyeupe duniani ambayo kitaifa yamefanyika jijini Mbeya
Katibu wa TLB Tawi la Temeke, Protas Mutakyanga akisoma risala ya Chama cha wasioona katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Fimbo nyeupe duniani ambayo kitaifa yamefanyika jijini Mbeya.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wasioona Tanzania, Emmanuel Saimon akitoa utambulisho kwa wanachama wake katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Fimbo nyeupe duniani ambayo kitaifa yamefanyika jijini Mbeya.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackso Mwansasu akiangalia baadhi ya bidhaa za wajasiliamali wasioona katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Fimbo nyeupe duniani ambayo kitaifa yamefanyika jijini Mbeya.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackso Mwansasu akiongozwa na Afisa maendeleo ya jamii Mkoa wa Mbeya kutembelea baadhi ya mabanda ya wajasiliamali katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Fimbo nyeupe duniani ambayo kitaifa yamefanyika jijini Mbeya

No comments:

Post a Comment