Mganga mkuu hospitali ya rufaa ya
magonjwa ya akili ya mirembe Dr Erasmus Mndeme akitoaa taarifa ya
matatizo yanayochangia magonjwa ya akili wakati wa maadhimisho ya siku
ya afya Duniani yaliyofanyika mkoani Dodoma leo katika hospitali hiyo.

Mganga mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr
James Charles akitoa maelezo kwenye maadhimisho ya siku ya afya ya akili
Duniania iliyoaadhimshwa kitaifa katika hospitali ya rufaa ya magonjwa
ya akili ya mirembe mjini Dodoma.


No comments:
Post a Comment