Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage(MB) akimkabidhi Tuzo
ya Chapa bora Bi. Mercy Kitomary ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa
Nelwas Gelato katika hafla ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na TPSF
Mlimani city jijini Dar es Salaam Oktoba 7 2016. Mgeni Rasmi alikuwa
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa
TPSF, Salum Shamte na Kaimu Mkurugenzi wa TBS, Dkt. Egid Mabofu.
(Imeandaliwa na Robert Okanda blogs).
|
Makamu
Mweyekiti wa TPSF, Salum Shamte akiongea kumkaribisha mgeni Rasmi, Mhe.
Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais kuzungumza, kuzindua kampeni ya
Fahari ya Tanzania na kutoa Tuzo za Chapa bora 50 za Kitanzania kwa
mwaka 2016.
|
Mshereheshaji,
katika Uzinduzi wa Fahari ya Tanzania na Utoaji wa Tuzo za Chapa bora
50 za Kitanzania Bw. Taji Liundi akiwa mimbarini.
|
Mkurugenzi
Mtendaji wa Superdoll Bw. Seif Seif akiwa na timu nzima ya
wafanyakazi waandamizi wa Superdoll wakifuatilia kwa makini Shugjuli
nzima ya Uzinduzi wa Kampeni ya Fahari ya Tanzania na utoaji wa Tuzo wa
Chapa Bora 2016
|
Meza
ya Washirika wakubwa CRDB Bank iliongozwa na Bi Tully Esther Mwambapa
Mkurugenzi wa Utafiti,Masoko na Huduma kwa Kwa Wateja akiwa na timu yake
wakifuatilia kwa makini Shughuli ya
|


No comments:
Post a Comment